mlinda mlango wa timu ya man u raia wa spain amewataka wenzake kuchukulia kwa uzito mechi ya marudiano dhidi ya real madrid kwa kusema mhezo utakua ni mgumu kwani real madrid ni moja kati ya timu kubwa na bora duniani. japo mchezo wa kwanza tulipata matokeo mazuri ambayo tulistahili bado tuna kibarua mbele yetu, alisema de gea mwenye umri wa miaka 22.
picha za matukio mbali mbali za mchezo wa kwanza ambapo timu hizo zilitoshana nguvu kwa kufungana bao moja kwa moja.