HUYU NDIYE MTANZANIA WA KWANZA NDANI YA JARIDA LA PLAYBOY MAREKANI
Pichani juu ni Mtanzania wa kwanza kuwepo katika ukurasa wa mbele wa Jarida maarufu la Playboy la nchini Marekani ambapo amelipwa kitita kikubwa mno. Jarida hilo limewatoa mastaa kibao wakiwemo Madonna, Kim Kardashian, Naomi Campbell, Garcelle, Vanessa Williams na wengineo.
GPL