"MTAMUONA MPENZI WANGU MPYA SOON KULIKO KUENEZA HABARI ZA UONGO"....WASTARA



Wastara amefunguka na kuliambia Gazeti moja la Udaku Maarufu hapa Bongo Kuwa Amechoka kusikingiziwa uongo wa kuhusishwa na wanaume mbali mbali ikiwemo huyo Mr Bond ambae Karibia Week mbili watu wanasema sema kuwa ndio mrithi wa Sajuki.."Nachukia Sana watu wakifatilia maisha yangu Binafsi Badala ya kazi zangu nitamuanika mpenzi wangu soon kuliko kueneza habari za uongo zinazohusu mapenzi ..Iwe ni Bond wanaye Msema ama mwingine"

pop up

 
Support : KARIBU TENA BONGO MASKANI
Copyright © 2011. BONGO MASKANI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA BONGO MASKANI
Proudly powered by Blogger