Barcelona yakubali kichapo cha 1-0 kutoka kwa Athletic Bilbao
Usiku wa kuamkia leo ulikuwa ni mbaya
kwa Barcelona baada ya kukubali kichapo cha goli moja kutoka kwa vijana
wa Athletic Bilbao. Goli hilo lilipatikana kunako dakika ya 71 kupitia
kwa mchezaji Iker Muniain. katika mchezo huo kadi za njano zilikuwa ni
nyingi huku Barcelona wakipata kadi nne na Athletic Bilbao walipata kadi
tatu. Hadi mwisho wa mchezo Barcelona 0 na Athletic Bilbao