STARS VS ZIMBABWE HAKUNA MBABE. ANGALIA PICHA ZA MATUKIO YA MECHI


Mshambuliaji wa timu ya taifa, Taifa Stars, Mbwana Samata, akimtoka mchezaji wa Zimbabwe, Simba Sithole, katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka suluhu. (Picha na Francis Dande)
Samaki akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Zimbabwe.
Mshambuliaji wa timu ya taifa, Taifa Stars, Mbwana Samata, akimtoka mchezaji wa Zimbabwe, Simba Sithole.
Mshambuliaji wa taifa Stars, Shomari Kapombe akichuana na beki wa Zimbabwe.
 Shomari Kapombe akipiga pira wa kichwa ambao haukuzaa goli baada ya kutoka nje ya lango la Zimbabwe.
 Golikipa wa Zimbabwe akijaribu kuokoa moja ya hatari langoni mwake.

mlinda mlango wa zimbabwe

Pages (38)1234 »

pop up

 
Support : KARIBU TENA BONGO MASKANI
Copyright © 2011. BONGO MASKANI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA BONGO MASKANI
Proudly powered by Blogger