BIFU LA DIVA NA MREMBO WA KENYA LAZIDI KUCHUKUA SURA MPYA, NI BAADA YA KUCHUKULIANA WAUME


Mrembo wa kenya anayedai  kuporwa  mume  na  loveness  Diva wa clouds  Fm  ameamua  kuachia  picha  zake  za  laana  kwa  lengo  la  kuonesha  ubabe  wake  wa Diva.....
Huddah  anamtaka  DIVA  naye  atoe  pix  zake  alafu  jamii  ilinganishe  ni nani  BOSS....!!!
huddah-monroe-0

huddah-monroe


...DIVA  , Boss  anaomba  umjibu  kwa  vitendo...Vinginevyo  anataka  umuachie  mpenzi  wake na  badala  yake  umrudie  mheshimiwa JEPESI  a.k.a  Rais Mteule

pop up

 
Support : KARIBU TENA BONGO MASKANI
Copyright © 2011. BONGO MASKANI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA BONGO MASKANI
Proudly powered by Blogger