Manager wa Wema Sepetu Martin Kadinda
Amejitokeza na kusema kuwa Baadhi ya Wasanii wenzake na Wema Sepetu ndio
wanao mchafua Wema mitandaoni kwa kutumia Majina Mengine kwa kile
anachodai ni wivu wa maendeleo yake , kila siku wanabuni mbinu mpya ya
kumchafua mitandaoni...Pia amesema wamegundua kuna Baadhi ya Marafiki
zake ndio wanampiga Vijembe wema kwa kujifanya watu wengine...Wema
Anapendwa na mashabiki zake sana so wanao mpiga vijembe ni hao hao Bongo
Movies wasio penda Maendeleo