Mchezaji nyota wa timu ya Manchester United na England, Wayne Rooney anadaiwa alipoteza nguvu zake za kiume baada ya upandikizaji wa nywele mwaka jana
Kituo cha runinga cha KTN cha nchini Kenya, kimedai kuwa Rooney amekuwa akimsumbua doctor wake kumtaka amrudishie pesa zake baada ya kupata madhara ya kupoteza nguvu za kiume kutokana na kupandikizwa nywele bandia kwenye kipara chake,hali iliyopelekea kusababisha mgogoro mkubwa ndani ya familia ya mchezaji huyo.