LULU "TOKA NITOKE JELA SIJAFANYA KUNONIINO" AMEBADILII NUMBER MARA 13 KWA USUMBUFU WA WAKWARE NA WASAGAJI WA MJINI



Elizabeth Michael
Elizabeth Michael
Elizabeth Michael "Lulu " Amedai hajakutana na mtu yoyote kimapenzi toka atoke Jela ...Kwa mujibu wa chanzo chetu Muigizaji huyo nyota amesema licha ya Vishawishi vingi  vya wanaume na wasagaji lakini hakuna alie bahatika kumnasa mpaka sasa 
Inasemekana toka apatwe na Masahibu ya Kanumba Lulu ni Kama mtu Aliyeng'atwa na Nyoka kwa kuogopa hata kuguswa na Nyasi..
Lulu Ameshabadilisha number mara 13 na tatu kuepukana na Usumbufu .

pop up

 
Support : KARIBU TENA BONGO MASKANI
Copyright © 2011. BONGO MASKANI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA BONGO MASKANI
Proudly powered by Blogger