MAMA ANAMTUMIA MTOTO WAKE WA MIAKA 8 KUPATA PESA ZA MATUMIZI, ONA HAPA

.

Ili kupata kujua yote na mkasa mzima usikose kutazama Joyce Kiria Wanawake Live leo saa tatu kamili usiku EATV Pekee!!!!!
Huyu ndio mama ambaye amemuajiri mtoto wa miaka 8 kama mfanyakazi wake wa ndani.
Nikiwa kituo cha polisi, huyu mama akiandikisha maelezo yake.
Mama Mzazi wa mtoto Loveness, hapa ni nyumbani kwake Mororgoro.
Joyce Kiria Wanawake Live, Mjini mpaka Vijijini.. Katika kijiji cha Kiloka Morogoro.
Nikiwa nafanya mahojiano na Diwani wa eneo hilo.CHANZO JOYCE KIRIA

pop up

 
Support : KARIBU TENA BONGO MASKANI
Copyright © 2011. BONGO MASKANI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA BONGO MASKANI
Proudly powered by Blogger