MULTICHOCIE TANZANIA YAFUNGA MWAKA KWA KUSHEREHEKEA NA WANAHABARI, WADAU JIJINI DAR
Baadhi
ya wadau na wanahabari wakijiachia wakati wa sherehe ya kufunga mwaka
ya kampuni ya Multichoice Tanzania jana usiku katika hoteli ya Serena
jijini Dar es Salaam.
Hawa wakiserebuka kwa muziki.
Wanahabari na wageni wengine waalikwa wakijisevia msosi wakati wa sherehe hiyo ndani ya Serena Hotel.
Mhariri
Kiongozi wa Magazeti ya Championi, Saleh Ally (wa kwanza kushoto) na
Mhariri wa gazeti la Championi Ijumaa John Joseph (wa kwanza kulia)
wakichukua msosi katika sherehe hiyo.
Saleh na John wakibadilishana mawazo.
Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho akiwa katika sherehe hiyo.
Burudani zikiendelea ndani ya ukumbi wa hoteli ya Serena, Posta jijini Dar es Salaam.
Kampuni ya Multichoice Tanzania jana usiku ilisherehekea kufunga
mwaka 2013 na wanahabari pamoja na wadau mbalimbali waliofanikisha
kumaliza mwaka kwa mafanikio. Katika sherehe hiyo waalikwa walijumuika
katika kucheza muziki, kupata vinywaji na vyakula pamoja ikiwa ni
shukrani kutoka kwa kampuni hiyo.