NISHA ALIA NA WAANDISHI WANAOMCHAFUA MTANDAONI, HIKI NDICHO ALICHOKISEMA KUPITIA INSTAGRAM
Msanii wa filamu Bongo, mwanadada Nisha ameandika kwa uchungu kupitia ukurasa wake wa Instagram kuhusu habari zilizo andikwa kuhusiana nae amabazo mwenyewe anadai hakusema na si za kweli. Nisha amepost picha ya mtandao anaodai umeandika habari hizo na kuandika ujembe wakukanusha na sikitishwa kwake na habari hizo. Jisomeee.........