Mcheza filamu za kibongo Salma Jabu Nisha amesema havuti sigara nje ya
filamu hivyo mashabiki wasimtafasiri tofauti wakiona anaigiza kuvuta
sigara kwani yeye anafanya jinsi “scene“inavyotaka
Akitolea mfano kwenye filamu ya shaymaa anasema “story“ilitaka avute
sigara ndio maana amevuta lakini sio mvutaji kabisa wa sigara kwenye
maisha ya kawaida
“mimi sivuti kabisa sigara njee ya filamu hivyo msinitafasiri tofauti jamani navuta sigara kulingana na story inavyotaka“