Waziri wa Nishati na Madini akutana na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia kuzungumzia Masuala ya Gasi
Waziri wa Nishati na Madini
Mhe.Profesa Sospeter Muhongo,Baadhi ya Wajumbe kutoka Benki ya Dunia
wakichangia taarifa iliyowasilishwa kuhusu masuala ya Gasi wakati wa
kikao baina yao
Bw. Albert Zeufack Mtaalamu toka Benki ya Dunia akiwasilisha taarifa ya kuhusu Masuala ya Gasi
Kamishna Msaidizi anayesimamia masuala ya Gasi Asilia Engineer Nobert Kahyoza akitoa ufafanuzi wakati wa kikao hicho
Kamishna Msaidizi anayesimamia
Maendeleo ya Nishati Bw. James Andikile akisisitiz ... hicho katikati ni
Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Profesa Sospeter Muhongo Picha na ( Asteria Muhozya - Nishati na Madini)(P.T)