Baadhi
ya wadau na wanahabari wakijiachia wakati wa sherehe ya kufunga mwaka
ya kampuni ya Multichoice Tanzania jana usiku katika hoteli ya Serena
jijini Dar es Salaam.
Wanahabari na wageni wengine waalikwa wakijisevia msosi wakati wa sherehe hiyo ndani ya Serena Hotel.
Mhariri
Kiongozi wa Magazeti ya Championi, Saleh Ally (wa kwanza kushoto) na
Mhariri wa gazeti la Championi Ijumaa John Joseph (wa kwanza kulia)
wakichukua msosi katika sherehe hiyo.
(PICHA: GPL)



