Nay wa Mitegho ambaye alienda Nairobi hivi karibuni na kukutana na wasanii kadhaa wa jijini humo ambao walimtembeza katika viwanja kadhaa vya starehe katika mishemishe za kujirusha na kugundua kwamba anakubalika sana nchini humo.
...Mtu kati
“ Nilipokuwa Nairobi nimepiga picha nyingi kutokana na kuwa na
mashabiki wengi nchini humo lakini zipo nyingine ambazo kwa kweli si
nzuri ila nilizipiga kwa ajili ya video yangu mpya,” alisema Nay wa
Mitego.” SOURCE: GPL