Watu zaidi ya 12 wameripotiwa kufa na wengine kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria la Burudani kutoka Korogwe kwenda Dar es Salaam kupinduka katika kijiji cha Taula wilayani Handeni mkoani Tanga.
pata habari za kina, kitaifa, kimataifa biashara na michezo pindi tu zinapotokea
Live scores provided by WhatstheScore.com