ETI WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA HAWANA UELEWA WA MAMBO IWE SHULE,OFISINI NA HATA KATIKA MAISHA YA KAWAIDA,KWELI?



 Huyu dada kwa kumtazama tu kwanza alivyokaa comfidence yake ipo
nyuma yake,haonekani kama anazingatia changamoto zilizopo mbele

yake anachojali ni hicho kilichopo nyuma...




Mimi kiukweli sijui hili kiundani ila watu walikuwa wanabishana
ofisini kwamba Wanawake wenye makalio makubwaaa hawana
uelewa wa mambo.Kuna makalio makubwaaa,ya katikati na ya
kawaida...ila wale wenye makalio makubwa...inasemekana wanajiamini
sana kiasi kwamba wanakuwa hawajipi nafasi ya kusoma,kudadisi na
kujua mambo mapya na yanayoendelea duniani...wanajiamini tu na
makalio yao...eti ni kweli?????samahani kwa nitakae mkera ila nataka
tu kujua....

pop up

 
Support : KARIBU TENA BONGO MASKANI
Copyright © 2011. BONGO MASKANI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA BONGO MASKANI
Proudly powered by Blogger