HUU NDIO UKWELI HALISI WA WASTARA KUA KWENYE UHUSIANO NA STAR HUYU WA BONGO MOVIE.



Wastara Juma , Bond bin Sinnon
Wastara akiwa katika pozi na Bond za picha,
:- Mtaani ni noma wegi wamlilia Wastara,
:- Hofu yatawala mahusiano yao
BAADA ya mikasa na kashifa kutulia kunako tasnia ya filamu Swahiliwood balaa limezuka upya, ni zamu ya Wastara Juma ‘Stara’ baada ya kusemekana anatoka na mpenzi wake mpya ambaye ni Producer wa filamu aliyefahamika kwa jina la Bond Bin Sinnon ambaye pia ni Presenter wa kipindi cha Cut & Action ambacho uruka katika televisheni ya Channel Ten.
Habari za uhakika zilitua za ndani kuhusu wawili hao zilisema Bond ambaye aliwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi kwa zaidi ya Miaka 4 na nusu na Mtangazaji Lulu Semagongo ambaye kipindi fulani aliwahi kukiri kwenye vyombo vya habari hasa magazeti pendwa kuwa yeye mzuka wake ni kufanya mapenzi kinyume na maumbile tangu akiwa mdogo.
Wastara Juma, Juma Kilowoko
Wastara akiwa na marehemu Sajuki enzi za Uhai wake
SAJUKI  NA WASTARA. 560
Wastara Juma Bond Bin Sinnon
Wastara akiwa na Bond katika mapozi
Wastara juma.
Stara akiwa katika picha ya pozi.
Hivyo basi hali imetiliwa shaka na mashabiki wa Wastara kuwa kwa vile wawili hao wameonekana kuwa na mahusiano ya kimapenzi basi ni dhahiri kuwa Wastara awe makini katika uhusiano wao la sivyo kijana huyo anaweza kuendeleza tabia yake hiyo aliyokuwa anaifanya kwa Lulu. Aidha chanzo chetu cha habari kimesema kuwa Bond ambaye tangu aachane na Lulu hakuwahi kuwa na mpenzi hadi anampata Stara, ” Huyo Bond anaogopwa sana na mabinti kwa sababu ya kauli ya Anti Lulu alipotangaza kuwa yeye mzuka wake ni kufanya mapenzi kinyume na maumbile hivyo hakuna msichana yeyote anayemkubali kwa hofu hiyo hivyo hata Wastara tunashangaa wamepatana kiasi hicho” Kilisema chanzo hicho.
Mahusiano ya Bond na Wastara yalianza kwa siri sana lakini hivi sasa kila kitu kipo wazi hadi ndugu wa Wastara wanamjua Bond kama shemeji yao, Mapaparazi wa Xdeejayz walifunga safari hadi Tabata jirani kabisa na anapoishi Wastara ili kupata umbea ambapo majirani hao walifunguka” Aaah na nyie waandishi mko wapi siku zote bwana? Wastara na Bond ni mke na mume mbona wala hakuna kificho tena Wastara sasa amerejesha furaha ya maisha kwa malavidavi ya Bond ambapo wanaishi pamoja kupika na kupakua,” alisema jirani huyo aliyejitambulisha kwa jina la Amina
uhusiano wao ulianza siku ambayo Bond alimfanyia interview kwenye kipindi cha Cut & Action na baadae wakageuza na kuwa wapenzi kabisa hivyo ndivyo ilivyotokea kwa Wastara na Bond.
Hata hivyo Xdeejayz iliwavutia waya wawili hao kuzungumzia ishu hiyo lakini simu zao ziliita tu bila majibu hadi habari hii inaruka hewani!

pop up

 
Support : KARIBU TENA BONGO MASKANI
Copyright © 2011. BONGO MASKANI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA BONGO MASKANI
Proudly powered by Blogger