WWE!! :TAZAMA PICHA 25 JIINSI JOHN CENA ALIVYOCHEZEA KICHAPO KITAKATIFU TOKA KWA RANDY ORTON:
RANDY
ORTON AMESHINDA MIKANDA MIWILI YA WWE BAADA YA KUMSHINDA JOHN CENA
KWENYE Tables, Ladders & Chairs Match,AMBAPO JOHN CENA ALISHINDWA
KUTETEA TAJI LAKE MOJA LA WWE HIVYO KUPELEKEA RANDY KUNYAKUA MATAJI YOTE
MAWILI YA UZITO WAJUU NA KUWEKA HISTORIA.