Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza wakati wa Tamasha la kuhitimisha Mbio za Uhuru (Uhuru
Marathon) zilizomalizikia kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni,
jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya wananchi waliohudhuria tamasha hilo la hitimisho la mbio za Uhuru Marathon.
Sehemu ya wananchi waliohudhuria tamasha hilo la hitimisho la mbio za Uhuru Marathon.(P.T)
Sehemu ya wananchi waliohudhuria tamasha hilo la hitimisho la mbio za Uhuru Marathon.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimvisha Medali ya Shaba mshindi wa tatu Kilometa 21 wa Mbio za Uhuru
(Uhuru Marathon 2013) Kasirini Renchi, ambaye ni askari Magereza, wakati
wa Tamasha la kuhitimisha Mbio za Uhuru Marathon 2013, zilizomalizikia
Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimvisha Medali ya Dhahabu mshindi wa kwanza Kilometa 21 wa Mbio za
Uhuru (Uhuru Marathon 2013) Jaqueline Juma, ambaye ni askari wa JWTZ
Arusha, wakati wa Tamasha la kuhitimisha Mbio za Uhuru Marathon 2013,
zilizomalizikia Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini Dar es
Salaam.
Washindi
wa Mbio za Uhuru Marathon 2013, wa Kilometa 21 mshindi wa kwanza
Jaqueline Juma, Askari wa JWTZ Arusha (katika) wa pili Angela Temo,
kutoka Kenya (kushoto) na wa tatu Kasirini Renchi, Askari Magereza,
wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa zawadi zao na Medali
kwa kutangazwa washindi wa mbio hizo zilizohitimishwa leo na Makamu wa
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika Viwanja vya Leaders
Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimvisha Medali ya Dhahabu mshindi wa kwanza wa Kilometa 42 kwa upande
wa wanaume mbio za Uhuru (Uhuru Marathon 2013) Jamini Ikai, kutoka
nchini Kenya, wakati wa Tamasha la kuhitimisha Mbio za Uhuru Marathon
2013, zilizomalizikia Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini Dar es
Salaam.
Baadhi ya washiriki wa Mbio hizo wakimalizia katika pointi ya mwisho katika Viwannja vya Leaders.
Baadhi ya washiriki wa Mbio hizo wakimalizia katika pointi ya mwisho katika Viwannja vya Leaders.
Washindi
wa Mbio za Uhuru Marathon 2013, wa Kilometa 42 mshindi wa kwanza, Jamini
Ikai, kutoka Kenya (katika) wa pili Steven Sylvester, kutoka Tanzania
(kushoto) na wa tatu Alex Sanka wa Tanzania, wakiwa katika picha ya
pamoja baada ya kukabidhiwa zawadi zao na Medali kwa kutangazwa washindi
wa mbio hizo zilizohitimishwa leo na Makamu wa Rais wa jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini
Dar es Salaam.
Meza Kuu ikifurahia na kuwapongeza washiriki........