RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA TAASISI YA KIMATAIFA YA KUHDUMIA WAATHIRIKA WA DAWA ZA KULEVYA NA UKIMWI

aids1_53019.jpg
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais wa Taasisi ya Kimataifa ya Kuhudumia Waathirika wa Dawa za kulevya na UKIMWI iitwayo Medicins Du Monde - Harm Reduction Programe alipofika na ujumbe wake Ikulu jijini dar es salaam.
PICHA NA IKULU

pop up

 
Support : KARIBU TENA BONGO MASKANI
Copyright © 2011. BONGO MASKANI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA BONGO MASKANI
Proudly powered by Blogger