yaani hata akiwa amelala usingizi mizuka inanijia najikuta namvamia bila taarifa na kuanza kumgegeda....
Na sasa nimefikia hatua mbaya zaidi maana muda mwingi mchana huwa nafunga duka na kurudi nyumbani kuajili ya kumgegeda....
So tabia hii imemkwaza sana mchumbawangu na kuamua kurudi kwa wazaziwake tangu juzi juma 5
naombeni ushauriwenu ni njia zipi naweza kuzifuata ili niondokane na hili tatizo maana nampnda sana huyu mchumbawangu.....Na kumgegeda ndio raha yangu siwezi acha