AHUKUMIWA KUPIGWA MAWE MPAKA KUFA BAADA YA KUMBAKA DADA YAKE NA KUMPA UJAUZITO



Jamaa mmoja mwenye umri wa miaka 30 aliyefahamika kwa jina la Umar Mohammed Kandahar amehukumiwa kifo cha kupigwa mawe mpaka kufa na mahakama ya Upper Sharia ya Bauchi mara baada ya kumbaka na kumpa mimba mdogo wake wa kike.

Read more: http://mdadisimambo.blogspot.com/2013/11/ahukumiwa-kupigwa-mawe-mpaka-kufa-mara.html#ixzz2lYX9maOj

pop up

 
Support : KARIBU TENA BONGO MASKANI
Copyright © 2011. BONGO MASKANI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA BONGO MASKANI
Proudly powered by Blogger