MADAHARA YA KUPIGA PICHA ZA UTUPU UKIWA NA MPENZI WAKO.? SOMA HAPA

Nilikuwa naperuz na kudadis mtandaonii, nikatutana na huyu kaka anaitwa Manaiki Sanga..! eti ni msanii na mwanamuziki sijui! nways..
Ametiwa mbaroni kwa kosa la kupiga picha chafu ZAIDI YA 400 na picha zake kuvuja!khaaa!nimejisikia vibaya kuona mmoja wa mdogo wangu kishuleshule wa primary kapozi kajibinua hana habari! na kalikuwa kapoleee..heshima tele kwa dada zake!kanashape na ni kazuri ila kamekomazwa na maisha ya ngono(ukiwa mfanyaji sana ujue esp mdada unachoka!haunawiri! lol) tuache hayo..
KWANINI MTU UJIWEKE CHEAP KIHIVYO? WHY?MKAKA MWENYEWE KIMEO...MVUTO 0!hatakama ni kitandani hiyo sio sababu ya kujidhalilisha!

Hata kama ni
kitandani..come on babes...why msimalizane bila picha jamani! at the end unaolewa na mwingine! Ona sasa at the end anaonekana kidume we unaonekana malaya tuu!
na huyu kaka hivi ndo kusema ibilisi hajakuachia hata akili moja ya utu?
Nadhani hii habari ya muda mtanisamehe,me nmeiona leo.

Kwanini upige picha uchi?tena na Boyfriend sijuw girlfried! why?kama mmeshindwa mapepo yenu yanakazania mpige...ok do it then BUT dont show ur face for crying out loud..just show ur ugly

pop up

 
Support : KARIBU TENA BONGO MASKANI
Copyright © 2011. BONGO MASKANI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA BONGO MASKANI
Proudly powered by Blogger