Injini ya Gari hilo inavyoonekana.
Gari aina ya Toyota Hilux lenye namba za usajili T697 BNB likiwa vibaya kutokana na kugonga treni ya abiria kwa mbele iliyokuwa ikitokea mikoa ya kanda ya ziwa. barabara ya iringa Dodoma
Asikari wa usalama barabarani wakiandika maelezo kaza baada ya kuyakusanya kwa mashuhuda walioishuhudia ajali ya Gari Dogo aina ya Toyota Hilux lililogonga treni ya abiria kwenye injini ajili hiyo imetokea jana saa 11;30 katika barabara ya Dodoma Iringa.
Wananchi wa manispaa ya Dodoma wakilishangaa Gari lililogonga Treni likiwa limehalibika vibaya baada ya injini yake kuharibiwa vibaya nahuku Dereva akiwahishwa hospital akiwa hajitambui.
Sehemu ya Barabara hiyo inavyoonekana huku ikiwa haina alama yoyote ya tahadhari
Asikari wa usarama barabarani akiwa karibu na Gari hilo baada yakuondolewa toka kwenye gema lililoinusuru isitumbukie chini ya Daraja ilipotokea ajali hiyo.