BREAKING NEWZZZZZZ!!!: AJALI YATOKEA DARAJA LA MLALAKUWA, MIKOCHENI JIJINI DAR
Ajali
imetokea leo asubuhi kawe Darajani Dar ambapo gari hiyo Inayoonekana kuharibika vibaya ilitumbukia
katika mto huo na kusababisha kifo cha Mtu mmoja ambaye anaonekana
akielea juu ya maji.