Utengenezaji wa filamu mpya ya Fast and Furious sehemu ya 7 utacheleweshwa kutokana na sababu ya kifo
cha mmoja wa mastaa wake, Paul Walker.
Kabla ya kifo cha Paul Walker cast na crew nzima walikuwa wameshapanga
bajeti kwaajili ya kusafiri kuelekea Abu Dhabi mnamo mwezi January 2014
kushooting baadhi ya scenes
Cast pamoja na crew ilipumzika kwa muda ili kupisha sikukuu za marekani
'Thanks Giving' lakini walitakiwa kurejea Atlanta siku ya Jumapili
kuendelea na scenes kadhaa, ambapo ndipo mwenzao Paul Walker akawa
amekumbwa na mauti baada ya kugonga mti na kupata ajali ya gari.
Waandaaji wa filamu hiyo Fast and Furious 'Hurricane Katrina Drama
wamesema wataendelea na ratiba ya kuichia rasmi Desemba 13. 'Fast and
Furious 7.