HIKI NDICHO ALICHOKISEMA BEN POL BAADA YA NYIMBO ZAKE KUWA CHACHU YA WASHINDI WA BSS
Mwaka jana katika mahindano ya BSS mshindi Walter Chilambo alitumia wimbo wa nikikupata wa Ben Pol na kuibuka mshindi katika shindano hilo.. Mwaka huu tena mshiliki aliyeshinda kinyang'anyilo hicho (Emmanuel Msuya) Alitumia tena wimbo wa Ben Pol na ukampa alama za juu na kufanya ashinde. Kutokana na hatua hiyo soma alichokiandika Ben Pol na jinsi anavyojisikia kwa sasa.