NISHA AMCHALENGE ADAMU JUMA WA NEXT LEVEL- ADAMU JUMA ATOA YA MOYONI
Baada ya Mtayarishaji wa Video Anaye
kuja juu kwa Kasi kipindi hichi Nisha Kupost Picha hiyo hapo na maneno
ambayo inaonekana ni dogo kwa Next level kampuni anayomilikiwa na Adamu
Juma... Adamu Aliandika maneno haya hapa chini Baada ya Dongo Hilo...