NORA AJIRUDI NA KUOMBA RADHI BONGO MUVI KWA KUTOKUSHIRIKI KWENYE SHUGHULI MBALIMBALI


Msanii Nora wa Bongo Movies amewaomba radhi wasanii wenzake pamoja na wengine kwa kutokushiriki kwenye matatizo mbali mbali kama vile misiba na mengine..
Msanii huyo alizungumza na Gazeti moja la udaku na Kusema hali hiyo imemtokea mara kwa mara kwa kuwa huwa yuko bize sana kiasi anashindwa kushiriki katika shughuli hizo ..hii inakuja baada ya Wasanii wa Bongo movies Kumsusia Wema Sepetu katika Msiba wa Baba yake .

pop up

 
Support : KARIBU TENA BONGO MASKANI
Copyright © 2011. BONGO MASKANI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA BONGO MASKANI
Proudly powered by Blogger