Pichaz:Swahili Fashion Week 2013 Wanamitindo mbalimbali waonesha Mavazi-Golden Tulip

Ijumaa ya Desemba 6 Wanamitindo mbalimbali walipata fursa ya kuonesha mavazi yao kwenye onesho la mavazi linalofanyika kila Mwaka zaidi ya Afrika Mashariki  ambapo jana zaidi ya wabunifu kumi walionesha mavazi, wakiwemo Afro Street Collection,Jasmine Greca Sinare Vyonne Ndawana,Asia Idrouus,Catherine Mlowe,Anne Kiwia,Mallen Design,Tanzania Mitindo House,Lucky Creation,House of Wellu na wengine.

Tazama picha za wanamitindo mbalimbali walionesha mavazi kwenye rnuway ya  hoteli ya Golden Tulip.







pop up

 
Support : KARIBU TENA BONGO MASKANI
Copyright © 2011. BONGO MASKANI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA BONGO MASKANI
Proudly powered by Blogger