Biashara
ni matangazo na inapendeza sana ukiitangaza mweyewe muhusika kwa mfano
mie nauza wedding dresses kutwa natangaza humu na navaa pia, na yeye
Flora anauza mother's union so mpeni deal masela akamate mahela na hii
xmass inakuja anakusafirishia buree kabisa na fasta, Mother's union
oyeahhh
biashara
ni matangazo na na itakuzika wewe mwenyewe ukiitangaza na kutuonyesha
mfano kama utapendezaje ukiivaa, sasa ushatangaziwa Mother's union sasa
kazi ni kwako kuagiza white, pink or red light special.