TAZAMA PICHA 9 ZA BIRTHDAY PARTY YA NICK MINAJ.....HIYO KEKI YAKE SASA NI BALAAA..............!


nicki-minaj-birthday
First lady wa label ya YMCMB Nicki Minaj amesherekea birthday yake akitimiza miaka 31 na mafanikio ya kujivunia kwenye kazi yake ya muziki.

nicki-minaj-birthday2

Party hiyo ikifanyika huko L.A na restaurant nzima ilibadilika rangi yake na kuwa ya pink maalum kwa ajili ya party ya Minaj ambayo ilihudhuliwa na Lil Twist,Safaree boyfriend wa Nicki Minaj na watu wengine.

nicki-minaj-birthday-3

Nicki aliletewa keki mbalimbali pamoja na stripper pole maalum kwa ajili ya party hiyo.
nicki-minaj-birthday-4

nicki-minaj-birthday-6

nicki-minaj-birthday-7
nicki-minaj-birthday-8

nicki-minaj-birthday-9

pop up

 
Support : KARIBU TENA BONGO MASKANI
Copyright © 2011. BONGO MASKANI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA BONGO MASKANI
Proudly powered by Blogger