Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizindua Timu ya Wataalamu wa Tanzania wa Kushughulikia Mkataba wa Maliasili.
Profesa Paul Collier Mtaalamu wa Msuala ya Uchumi na Sera wa Kimataifa akiwawasilisha mada.
Baadhi ya Washiriki wa Hafla ya Uzinduzi wakimsikiliza Profesa Paul Collier(kulia).
Mkuu wa
Utafiti na Sera kutoka Taasisi ya UONGOZI, Dennis Rweyemamu akiwasilisha
mada juu ya Programu ya Mkataba wa Maliasili za Tanzania.(P.T)
Balozi wa Umoja wa Nchi za Ulaya nchini Tanzania Filiberto Cerian Sebregondi akiuliza swali kwa wawasilishaji mada.
Mwakilishi wa Benki ya Dunia Dk. Albert Zeufack akichangia mada.
Baadhi ya washiriki hafla hiyo.
Baadhi ya washiriki hafla hiyo.
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kulia) akizungumza jambo na Balozi wa
Canada nchini Tanzania Alexandre Leveque.Kushoto ni Mwenyekiti wa Timu
ya Wataalamu wa Tanzania wa Kushughulikia Mkataba wa Maliasili, Profesa
Luoga Florency.
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akitoa taarifa fupi kwa Waandishi wa
Habari (hawapo pichani) baada ya kuzindua timu hiyo.Kulia kwake ni Afisa
Mtendaji Mku wa Taasisi ya UONGOZI, Profesa Joseph Semboja.
Picha zote na Hussein Makame