Baada ya mwanamuziki wa kizazi kipya kufunguka na kuamua kumdiss
mwanadada baby Madaha a.k.a The Bad Gul kuwa hawalingani hivyo hana muda
muda wa kuwa na beef na mrembo huyu wa filamu na muziki bongo, hatimaye
tumeweza kumpata baby Madaha na kufanya naye EXCLUSIVE interview na
mwanadada huyu kuhusu hayo mazito aliyoyasema bwana platnumz. Na kwakuwa
mwaka huu ni mwaka wa kufunguka bila kuficha chochote binti huyu
aliamua kuanika yake ya moyoni kama yanavyosomeka hapo chini….
Baby alianza kwa kusema
“….Kwanza nitafute keeck kwa diamond kwa lipi,wakati anakuja
kuniomba kuperfome 2010 akiwa ana single moja ya mbagala pale maisha
plus mimi nikiwa judge na kina masoud,tayari nishafanya album ya amore
india na nishapiga show kibao,wakati yeye akifikiria amkamate demu gani
ili a hit kimuziki mimi tayari nishafanya movie tatu na moja imeshinda
ziff tz na ziff berlin,akiendelea kuwapanda kama farasi hao wajinga
wajinga wenzie mie tayari nina tuzo tatu ziff ambazo hata marehemu
kanumba angefurahi kupata japo moja(rip)….”
“…..Wakati sasa anaongea blah blah akiwa na single yake moja
mpya akihangaika kwenda nigeria kuonyesha skin tight yake ya mistari na
kuomba omba collarbo, mi tayari nina single tatu hit na najiandaa
kushusha movie kali mpya,tatizo ni kutotaka kukosolewa na kujiona mungu
mtu kwenye muziki lakini ukweli anaujua na hata yeye anauogopa kama
anabisha afanye nao collarbo anahangaika nini na wote wanaimba bongo
flava??upuuzi na ujanja ujanja tu wa mjini unafanyika huku wale punda
wake wakikubali kumbeba kwa malipo gani umaarufu???mi sijautafuta kwa
nguvu hiyo, nimepikwa bss na watu wakaniona na wakanitambua.kama ni
suala la pesa hata asiongee launching yangu ya (kempinsky)hyatt regency
2010 hakuna msanii yeyote wa bongo flava including na yeye ameweza
kufanya jeuri hiyo,aliyejaribun labda yule demu wake wa zamani
aliyemshit pia kwa vihela vyake mbuzi…”
“….Akiwa bado anastruggle kupata mkwanja awatishe tishe watoto
wenzake wa tandale..mimi nishazindua brandy yangu ya manukato na gift
bagz zangu ambazo zinaingia sokoni rasmi 31 december…bado anachanja na
prado old model,asogee kwenye audi tt yangu apunge upepo yani ye
anatafutaa..mi nishapata so wa nini???wanaompapatikia ni wale drama
queens wenzie, mi ama bad gul sijali kama kumchana namchana tu so
wat??,scandal kitu gani?ye sukari guru ata survive si tandale bwana eeh,
vipi wale kwenye list za kubadilishwa kama nguo za ndani je watapata wa
kuwaoa???/… wakija forbes hapa watu wataumbuka ooh na hekalu langu
kuubwa unakaaje kwenye nyumba ya kupanga?haliishi??hahahaha na kuhusu
ati mimi nimesema ana paja la mtoto wapi na wapi he is not ma type at
all si hook na little mama’s boy na hook up na big boys tu…”
“…. Mi sio wale farasi zake wanaopokezana kupandwa na yeye
after role kuambiwa ukweli sio bif kweli mzinzi na hajui kuimba kama sio
kweli atulie tu asipande pande hapo tutamwona mfalme kweli kama mzee
yussuf,mimi naimba aina yangu ya muziki tanzania nzima nipo peke yangu
hakuna demu anapiga riddim,ragga sasa natafutaje keeck kwa bongo
flava????anaeimba nyimbo zake za kipuuzi kutaja taja farasi wake ana
(tusi kali sana) angekuwa ameni***** sawa but mpaka anakufa i think
atakuwa ananiota mimi na lulu……….kama mbwai mbwai mjini hapa kila
nyumba ina namba..adios…”
Hatuna la kuongezea hapo, kazi yetu ni kuwajulisha kinachotokea tu mjini hapa.
Source:Bongomovies