Jamani mnisadieni mwenzenu huwa ninatabia ambayo kiukweli mimi binafsi siipendi,
huwa ninatabia ya kufanya mchezo wa kuigiza tunatiana na mpenzi wangu, huku
mimi nikipiga masta(besheni) na yeye akiishia kujipiga madole sasa hii tabia naona
inakuwa kero kwangu kila siku lazima tufanye mpenzi wangu yupo mbali na mimi na
pia huwa nikiwatongoza wasichana wengine huwa nawauliza kama huwa wanajua
kufanya sex phone mara ya kwanza wanasema hawajui ila tukiaanza kufanya
wanasema walikuwa wanafanya ata kabla ya hapo,
Kwa mpenzi wangu anapenda sana hii tabia huwa ananishukru na kunisifu kuwa
najua sana mapenzi, sasa issue ni kwamba kiukweli utendaji wangu katika tukio
lenyewe naona kama hauko timamu sana kama mwanzo sasa natafuta jinsi ya
kuacha maana hii tabia inanikwaza huwa nikimaliza kufanya huwa najutia sana haya
maamuzi sasa mwaka wa 8 sasa nina miaka 27.
Nisadieini mwenzenu lakini pia naona wadada wengi wanapendelea sijui ni mimi tu
au ata watu wengine wanafanya hivyo ingawa ata kama mdada hajakukubalia
mkaduu huu mchezo umekuwa unanifanya nawanasa sana mabinti ata kama ni
mgumu wa kutoa mchezo ila sasa unanifanya nimcheat my love na kumkosea mungu mda mwingi