"DO YOU THINK ZITTO NA WENZIE WATAUNDA CHAMA CHAO AU WATAKUJA CCM?"..MANGE KIMAMBI


"So what do you think?

Zitto na wenzie wataunda chama chao au wataingia kile chama kizuuuuuuuuuuuuuuriiiiiiiiiiii

kinachoitwa CCM?

Im guessing anakuja CCM ,,,,

With Zitto ndani ya nyumba, CCM itazidi pata nguvu, come 2015 ushindi utakuwa wa kishindoooo,,,,


WELCOME TO CCM KAKA ZITTO.....

By the way sijaelewa hili sakata la kwamba mtu mwingine keshapewa nafasi yake huko CHADEMA

Although yeye Zitto mwenyewe bado hajapewa barua ya kuenguliwa.........

mnaojua siasa kiundani tuchambulieni hili....." Mange

pop up

 
Support : KARIBU TENA BONGO MASKANI
Copyright © 2011. BONGO MASKANI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA BONGO MASKANI
Proudly powered by Blogger