snura mushi..... Huyu naye ni msanii wa flam aliyeamua kuyanadi makalio yake katika mitandao mbali mbali.......Siku hizi imekuwa fashen.....Kibaya chajiuza....!
“Tangu nikiwa mtoto nilikuwa na makalio na haya nimerithi kwa bibi yangu kwani alikuwa mnene sana.”
“Huwa napenda kuvaa magauni marefu kwa sababu huwa najiona ninapendeza, shepu yangu inaonekana vizuri na nimejisitiri pia.”
“Sijui saizi kwa sababu huwa sivai nguo za ndani.”
“Usumbufu ni mkubwa sana kutoka kwa wanaume, baadhi yao ukipita wanakuomba namba za simu.”
“Natamani kupungua kidogo juu lakini siyo makalio kwa sababu hili ni pambo kwenye kazi yangu ya muziki.”
“Natamani kupungua kidogo juu lakini siyo makalio kwa sababu hili ni pambo kwenye kazi yangu ya muziki.”