"MTAMUONA MPENZI WANGU MPYA SOON KULIKO KUENEZA HABARI ZA UONGO"....WASTARA
Wastara amefunguka na kuliambia Gazeti
moja la Udaku Maarufu hapa Bongo Kuwa Amechoka kusikingiziwa uongo wa
kuhusishwa na wanaume mbali mbali ikiwemo huyo Mr Bond ambae Karibia
Week mbili watu wanasema sema kuwa ndio mrithi wa Sajuki.."Nachukia
Sana watu wakifatilia maisha yangu Binafsi Badala ya kazi zangu
nitamuanika mpenzi wangu soon kuliko kueneza habari za uongo zinazohusu
mapenzi ..Iwe ni Bond wanaye Msema ama mwingine"