Mimi
ni mwalimu wa shule moja ambayo sitaitaja. mwezi uliopita mwanafunzi
wangu wa kike ambaye yuko kidato cha tatu alinifuata na
kuniambia anataka kunipa zawadi...
Sikuwa na hili wala lile, hivyo nilimwambia ni poa tu kama ameamua kunikumbuka mwalimu wake..
Zawadi
aloniletea ilinifanya nishike kichwa maana sikutegemea.Yule
mwanafunzi aliniletea chupi aina ya boxer 3 na tangu siku hiyo kila
akiniona
ananifanyia vituko mpaka ananikalia nusu uchi darasana nikiwa
nafundisha kwa vile anakaa viti vya Mbele....
Nikiwa kama mwalimu, nimejaribu kutumia viboko ili kumuonesha kwamba sina mpango naye lakini bado imeshindikana..
Nifanyaje ndugu zangu? Maadili ya kazi yananibana.Hata hivyo, mwanao ni mwanetu sote.