Basi la Burudani baada ya ajali leoWilaya ya Handeni, Tanga.Hospitali ya wilaya ya Korogwe.
Majeruhi wakipatiwa matibabu.
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo ( kushoto) akiangalia mmoja wa majeruhi akipatiwa matibabu.
Manesi wakiendelea na matibabu kwa majeruhi.
Mmoja wa majeruhi akiwa amelazwa kwenye benchi.
Wananchi wakiwa eneo la Hospitali.
Basi la Burudani leo limepata ajali maeneo
ya Kabuku - Korogwe , watu 12 hadi sasa wamefariki na majeruhi zaidi ya
55. Watu 4 wamepelekwa MOI na KCMC. Tuwaombee majeruhi.