Mwamvita
Makamba, Ni mtoto wa Muheshima Makamba aliyekuwa mkuu wa Mkoa Wa Dar es
salaam , na baadae Mwenyekiti wa CCM kitaifa, Mwamvita ana Masters ya
Politics and International Relations na kwasasa ni Chief Officer:
Marketing & Corporate Affairs kampuni ya Vodacom Tanzania.
Tujifunze kwa huyu dada..