Mwigizaji wa filamu za kibongo aliyesemekana kuwa amekatwa
nchini brazil akiwa na madawa ya kulevya Aisha Bui ameonekana nchini
hivi karibuni akiwa kwenye salooni ya mwanadada mwingine muigizaji Nisha
iliyopo maeneo ya Sinza jijini Dar es Salaam.
Mwadada
huyo ambaye tayari ameigiza filamu kadhaa na mastaa wenzake alionekana
kwenye saloon ya Salma Jabu(Nisha) akiwekwa sawa nywele zake kama
anavyoonekana pichani.